LE TEXTE DE LA CHANSON "INAMA" DE FANTASTIKOH EL WEEZYA
Voici le texte de la chanson "INAMA" qui ne reste personne indifférent :
Song title: INAMA
Artist: El Weezya Fantastikoh
Time: 2min 39
➡️Intro:
This is another one
You know is FantaBoss
Are u ready Congo?
(FantastikoH)
➡️Chorus:
Inama, InamaX3
Inama, InamaX3
Inama, InamaX3
Inama, InamaX3
➡️1st verse:
Sweety baby usi ni chunguliye
Na gonga mlango uni funguliye
Katoto kazuri uni *ulamiye
Na kupa zangu uni *anuliye
➡️kama commando ni ta ku fatiliya
Ndani ya giza ni ta ku pangiliya
Pengama shutama ni ta ku ingiliya
Usi jali naby Mimi ni kama ninja
➡️Hook:
Kama nvuwa baby ni nyesheye
Kitandani niku tembezeye
Baby honey tubi koleze
Hata kinywani uni poleze
➡️Chorus:
Inama, InamaX3
Inama, InamaX3
Inama, InamaX3
Inama, InamaX3
➡️2nd verse:
Sitaki nyama ni chumiye mboga
Ni papase kote usiwe na oga
Ni ite cash money mi nita ku honga
Usi jali biyashara hayata homba
➡️Hata akija wewe ni dada yangu
Tena una fanana shangazi yangu
Ginger, karanga kawaida yangu
Mpaka kesho we ni chakula chungu
➡️Hook
Kama nvuwa baby ni nyesheye
Kitandani niku tembezeye
Baby honey tubi koleze
Hata kinywani uni poleze
➡️Chorus:
Inama, InamaX3
Inama, InamaX3
Inama, InamaX3
Inama, InamaX3
➡️Mishka on the beat
El Weezya beats again
Inama Inama inama
(Rire)
Inama